Poems from Kraizie Naibz
Sura ya kutisha kama bawabu wa makaburi, mistari zina-miale zinatemwa kama mikuki
hila usifadhaike piga moyo konde unapofika mchangani...
Na-wonder life ni type gani ya game,ni hockey,rugby ama table tennis? Ina-boast vile ni mjanja na bila mimi ni kama used tissue paper...
Nimejipata mashakani baada ya Hakimu kuniukumu
maisha gerezani na majukumu ya kazi
ngumu
Tumeingishwa kwenye basi ambayo imetungoja pembeni...
I’m here staring on my monitor screen; my thoughts are counting five thousand miles away from my
body. Everything we went through unfolding...
Nimeamua kuandika hili kuchafua akili ya wathii na hili picha Yangu ya maisha kutoka utotoni na vitu kibao zile nimepitia Furaha,karaha,...